- Last Name: WARD
- Given Name: Benjamin
- Birth:
- Death: 12 Jan 1895
- AGED:
- Inscriptions:ni ya kutukuziwa mwenyiezi Mngu / na / kukumbakia mapenzi / ya ndugu yetu tupendanae / Benjamin Ward / wa Kentmere, Westmorland / nae ndiye / aliyeirasimu kanisa hii na kuibuni / wenyeji wa huu mji wa / Kisauni / wangi walikuwa wakifurahishwa / kwa ihisani na imani / waliokuwa yeye akiwaonea / alilala usingizi katika masihi / Jan 12 1895 / waliokuwa rafikize watu wazidi / mia n'ne / wametangizana illi kumuwekea / lahu hii / wana heri wafu wafao katika bwana / ufunuwo.xiv.13
- Cemetery: Mombasa Memorial Cathedral
-
|